Buyers List:Wateja AUGUST 2021

 1.Natafuta Townace au Liteace haraka.Budget yangu ni 5m.Location Tanga

2.Natafuta fuse box ya ndani.Budget yangu ni shs.200,000.Location:DSM

3.Natafuta chumba master.Kiwe maeneo ya Rainbow na Morena.Bei iwe kati ya shs.80,000-100,000.
Location:Dodoma
4.Natafuta Mashine ya Kutunzia Juice.Location DSM.
5.Natafuta mabati used mwenye nayo,nayahitaji.
Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply