Buyers/Wanted:July 2021 List

1.XS ya ICLOUD- 150k bei offer nataka ninunue.

Location:DSM 

2.I phone 8 plus..Ina I cloud lock natafuta fundi ANAEWEZA kutoa activation lock nina 80,000 maongezi yapo ila I cloud ya kwanzaa imesahaulika so inahitaji ku bypass
Location:DSM 

3.Natafuta Kioo cha Samsung S5.Bei iwe nzuri Nipo kigamboni.
Location:DSM 

4.   Natafuta Hard-Disk Internal desktop 10 TB.Nipe ofa yako, nitumie picha whatsapp.
Location:DSM 

5.Nahitaji external hard disck.
Location: Dodoma
Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply