Buyers List October 2021

1.Natafuta PS3.Budget ni Shs.220,000.Location-Dodoma.
2.Natafuta dereva wa Daladala Posta na Kijichi.Posho ni 100,000.Location DSM.
3.Natafuta Kiwanja,Kiwe a Nzuguni au Kisiwe.Kuanzia sq.m 400.Bei maelewano.Location Dodoma.
4.Natafuta Nissan X-Trail hata kama engine na gear box ni mbovu.Location Arusha.
5.Natafuta modem ya Tigo au Airtel.Iwe 4G.Budget 10,000.Location Arusha.
6.Natafuta msichana wa Kazi za ndani.Mshahara Shs.80,000.Location Arusha.
7.Natafuta account ya Email yenye games za PS 2,3 na 4.Pia natafuta PC yenye games za kutosha.Budget ni 350,000.Location Singida.
8.Natafuta XBox 360.Budget 230,000.Location DSM.
9.Natafuta Vacuum Sealer .Location Mwanza.
10.Natafuta Betri ya TOYO iliyotumika.Budget 15,000.Location Arusha.
*Kupata Mawasiliano ya hawa wateja na wengine wengi wanaotafuta bidhaa na huduma mbalimbali.Jiunge na Telegram Channel yenu.Link ifuatayo:
https://t.me/AnfraMasoko
Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply