Tenants List January 2022

TENANTS LIST JANUARY 2022
1.Natafuta room,miezi mitatu.Iwe na gypsum nzuri.Budget ni 50,000.Maeneo ya Kona na Kibo.
2.Natafuta chumba single.Maeneo ya Korogwe hadi Baruti,sio mbali na Morogoro road.Budget ni 50,000.
3.Natafuta fremu.Maeneo ya Mbagala au Tandika.
4.Natafuta chumba sebule na  choo.Maeneo ya Kinondoni kwa Selebonge.Budget ni 70-100000.
5.Natafuta nyumba ya kupanga.Iwe na vyumba vitatu.Maeneo ya Kawe au Goba.
6.Natafuta fremu.Maeneo ya Mwananyamala au Makumbusho.Budget ni 70000.
7.Natafuta fremu ya kufanya biashara ya uwakala.Maeneo ya Temeke,eneo liwe limechangamka.Budget 60000.
Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply