Wateja/Wanted List June 2021

WANTED PRODUCTS & SERVICES 
1.Dodoma:natafuta chumba cha kupanga.Chumba kiwe na umeme pamoja na maji yawepo yasiwe mbali nipigie.
2.Natafuta line ya uwakala Tigopesa 
3.Nyumba ya vyumba vitatu na mahitaji yote muhimu inatafutwa na mteja,maeneo ya Kigamboni.Budget ni 25 mil.Pia kiwanja kinatafutwa,mil 5.Tuwasiliane whatsap kama unacho,njoo na picha na maelekezo.
4.Natafuta ngazi ya chuma used.ile ya vipande vipande Dsm.
5.kama una gas yako used unatak kuuza nchek iwe kampuni yoyote ile nanunuaiwe ina gas au imeisha me nanunuaiwe complete au mtungi mtupu nanunuaiwe kubwa iwe ndogo nanunuanchek mda wowote tufanye biasharausinipe bei ya dukan mana napajua.Location MOROGORO
Kupata mawasiliano ya wateja hawa jiunge na monthly newsletter yetu.Upate updates kila mwezi.Karibu.
Contacts:
Posted by: Anfra Masoko TZ on

Leave a Reply